Magufuli atosha kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii,hatuhitaji kiongozi wa kufanya majaribio katika kuendesha nchi na kusimamia rasilimali zetu,wala hatuwezi kuwapa kundi dogo la wafanyabiashara waongooze nchi kwa misingi ya udini,ukanda, na kujuana,hatukubali hapa kazi tu