Protected music files

Bizzly

Member
Joined
May 3, 2010
Posts
79
Reaction score
24
wanajamii naomba msaada wangu nina music file (zilipendwa) ziko protected nashindwa kuziplay, ku burn hata kudownload licence. naamini hapa jamvini hakuna linaloshindikana. mwenye utaalam nidokeze tafadhali.
 
File za aina gani na ziko protected na nini?
 
aina ya file ni Window Media Audio (WMA), During the ripping process, the file was "protected." This limits the number of computers on which the file can be played.
Nadhani mnaweza nisaidia kuanzi hapo.
 
kama hayuko mbali aliyekufanyia ripping mwabie arudie tena kufanya ripping lakini kabla hajafanya abadilishe settings za WMP sabau Windows MEdia Player the "copy protection" iko on by default.

Kwenye WMP go to Tools/Options and Click on the Copy Music tab, and under Copy Settings, uncheck the 'Protect Content' box. Click Apply and then OK.

Otherwise kwenye kazi za kimazabe mazabe kama hizi usipende kutumia product za microsoft zina limitation sana. kuna software nyingi zinafanya kazi hii vizuri kuliko za Windows.
 
Ndio maana naipenda JF,hapa hukosi ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…