miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Pole sana,i hope utapata msaada..
Mimi sio daktari, lakini nafahamu kuwa protein haitakiwi kuwepo kwenye mkojo. Mara nyingi ikiwepo inaashiria matatizo ya figo. Poleeh!
....pole sana kwa tatizo lako mamy. miss strong...kwa kuaangalia haraka haraka...joto mwilini linweza keletwa na vitu vingi...kama hivyo ulivyopimwa hapo....na hilo la kuwa na protein nyingi mwilini sina hakika na hicho kipimo walichotumia...maana si rahisi kujua wingi wa protein mwilini(kibongo bongo) japo unaweza kuona protein kwenye mkojo na inaweza kuwa ni kwa sababu ya magonjwa mengine.(maana kwa kawaida hutakiwi kuon protein , sukari kwenye mkojo)...tukirudi kwenye joto mwilini ukiacha mambo menginee makubwa labda kwa haraka harak ujiangalie pia km apetite ya kula ipo juu yaani ukila kidogo unapata njaa baada ya muda mfupi, km wakati mwingine moyo huenda mbio sana(palitation), au unakua unapata loose stool mara kwa mara....kama utakua na baadhi ya hizi dalili...uende hospital ukapime thyroid hormone(Thyroid function test).....lakin ukukikutana na dr ukiongea nae vzr ataangalia vitu vingine vinavyo sababaisha.joto kuwa juu..hasa hormone zinazishughulika na utengenezaji wa nishati kwa mwili( zinazo control Basal metabolic rate-BMR)..ila baada ya kuangalia all infections kama ulivyopima..Habar zenu wana jamvi.......
Kuna tatizo ambalo linanitatiza mwenzenu,mwili wangu unakawaida yakuwa na joto maisha yangu yote kias ya kwamba mtu mwingine akinigusa anaweza akasema labda naumwa kumbe walaaaaah!!!
Kilichonifanya niandike uzi huu....nilipotoka kijiji hv karbun nikawa najisikia vbaya kias.Leo ikabid niende zangu hosptl nkapime malaria,u.t.i,typhod lkn vipimo vmeonyesha nna malaria 2 na hvyo vingine sina ila pia imeonyesha protein nying.Je protein hii inaweza ikaleta matatizo???au ni inakuaje??
Mungu awabariki sana....nategemea michango yenu wote na MziziMkavu, Dr.Mo, King'asti, mimi49
Toka 2013 unataka mrejesho?? Inawezekana dada mwenyewe alishadedi zakeUzi kama huu ni vzr tukapata mrejesho
Duh.......Toka 2013 unataka mrejesho?? Inawezekana dada mwenyewe alishadedi zake