Hahah wanashupaza na shingo kabisa, wakati jamaa mwisho wa ile barua kawaachia na ujumbe kabisa.Kuna watu vichwa panzi kweli.š¤£
Watu wengi kwenye hii nchi bado wameganda kwenye siasa za ujamaa uchwara na ujima, huko ndio haya mambo ya protokali bado yana mashiko kihivyo.Rais kama Donald Trump wa Marekani anatumia mitandao ya kijamii kufanya maamuzi makubwa tu, hii ya kujiuzulu kwa Humphrey Pole pole ni kwa nini izue zogo!!
Siasa za kuabudiana....Watu wengi kwenye hii nchi bado wameganda kwenye siasa za ujamaa uchwara na ujima, huko ndio haya mambo ya protokali bado yana mashiko kihivyo.
Mambo ya hovyo sana, ushamba, ujinga, ujamaa uchwara na ujima mtupu.Hayo mazaga hata Mimi yananikera sana, yanataja taja majina mwisho utasikia protokali imezingatiwa...upumbavu mtupu yaani. Unakuta majitu yenyewe hayawajibiki ni wezi waongo...wapo busy eti wanazingatia protokališ„“...wananipaga moto wale jamaaa
Kama umesomea mambo ya leadership and management mambo ya itifaki hayawwezi kukuchanganya. Lakini kama una kisomo ch ngumbaru kama wewe LAZIMA uhoji kuhusu itifaki (protokali).Kuna watu sasa hivi wanajadili kama Polepole kutuma barua ya kujiuzulu mtandaoni amefuata protokali! Yani karne hata barua ya kujiuzulu yenye maudhui na sababu kama hii ya Polepole iwe siri ya serikali ?! Siasa za ujaama uchawara zimedumaza sana akili za Watanzania wengi.
Huwa nashangaa sana hata haya mambo na mijadala ya protokali kama maswali ya nani mkubwa kati IGP, CDF, DGIS au Mkurugenzi uhamiaji. Masuala ya mtu anaanza hotuba kwa kutaja msururu wa viongozi walipo kwenye mkutano. Haya yote ni ujima tu.
What if alishamwandikia boss wake kabla ya kuweka mitandaoniKuna watu sasa hivi wanajadili kama Polepole kutuma barua ya kujiuzulu mtandaoni amefuata protokali! Yani karne hata barua ya kujiuzulu yenye maudhui na sababu kama hii ya Polepole iwe siri ya serikali ?! Siasa za ujaama uchawara zimedumaza sana akili za Watanzania wengi.
Huwa nashangaa sana hata haya mambo na mijadala ya protokali kama maswali ya nani mkubwa kati IGP, CDF, DGIS au Mkurugenzi uhamiaji. Masuala ya mtu anaanza hotuba kwa kutaja msururu wa viongozi walipo kwenye mkutano. Haya yote ni ujima tu.