Protokali ya kumi na tatu

Protokali ya kumi na tatu

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
"Ili kuwazuia wasiweze kufikiri kwa makini hasa,tutazivutia hisia zao kwenye burudani,michezo,mapumziko,misisimko na makasri ya watu.Vivutio vya aina hiyo vitayaondoa mawazo yao kabisa kutoka kwenye masuala ambayo tutaweza kulazimika kufanya juhudi pamoja nao. Wakiwa wamezidi kupungukiwa na mazoea ya kujitegemea kifikra,watu wata anza kujieleza katika umoja na sisi,kwani ni sisi pekee tunao toa mielekeo mipya ya kifikra,bila shaka kupitia kwa watu ambao wana imani kwamba hawana uhusiano nasi kwa njia yoyote ile" — (MYAHUDI WA KIMATAIFA)

Husemwa ya kuwa maneno hayo juu ni zile makala za wazee wakizayuni walioelimika katika sera zao za kutaka kuwaweka mataifa pamoja kwa kuwatawala kifikra na mengineyo.

Nimeleta ama nimekunukuu protokali hii kama matokeo ya machapisho chini ya yule mfanya biashara maarufu wa kijuerumani aitwae Henry Ford I.

Nataka kujadili ukweli kuhusu maneno hayo,je haya yanayoendelea ni matokeo ya protokali za wazayuni na nini kifanyike ili kujinasua na uratibu huu wa mambo.
 
Nakazia hapa kwenye Burudani na Michezo....hapa kweli tumelemazwa wametuweza asilimia kubwa ya bongo zetu tumezielekeza ktk mambo haya huku wenzetu wakiendelea kupanga mikakati ya kuutawala ulimwengu. ....

Nikitolea mfano kama sisi waafrika muda mwingi tunautumia kwenye maswala ya mpira (hasa wa miguu) na burudani (miziki na filamu) huku wenzetu wakifanya kazi kwa bidii ili waweze kututawala
 
Ukisikia mnyororo ndio huu sasa! Kama ni ngumi basi tumepigwa ya chembe ya moyo [emoji27][emoji27]
 
Hapo unaongelea Kuhusu mkakati wa kuundwa kwa serikali moja ya dunia " New word order "
 
Yote ya nini hayo wakati duniani kwenyewe tunaakaa miaka haizidi hata 80
 
Yote ya nini hayo wakati duniani kwenyewe tunaakaa miaka haizidi hata 80
yes ni miaka michache tunaishi lakn je baada ya ww kuondoka kizazi chako na taifa laki katka position gan. ndio maana mpaka kesho sisi ni watu wa kukopi walivyofikiri wenzetu
 
Yote ya nini hayo wakati duniani kwenyewe tunaakaa miaka haizidi hata 80
"We will always stand above the relative field of their experience for we know the secrets of the absolute. We will work together always and will remain bound by blood and secrecy. Death will come to he who speaks.
"We will keep their lifespan short and their minds weak while pretending to do the opposite. We will use our knowledge of science and technology in subtle ways so they will never see what is happening. We will use soft metals, aging accelerators and sedatives in food and water, also in the air. They will be blanketed by poisons everywhere they turn.
The soft metals will cause them to lose their minds. We will promise to find a cure from our many fronts, yet we will feed them more poison. The poisons will be absorbed through their skin and mouths, they will destroy their minds and reproductive systems. From all this, their children will be born dead, and we will conceal this information.
 
"We will focus their attention toward money and material goods so they many never connect with their inner self. We will distract them with fornication, external pleasures and games so they may never be one with the oneness of it all. Their minds will belong to us and they will do as we say. If they refuse we shall find ways to implement mind-altering technology into their lives.
 
We will use fear as our weapon. We will establish their governments and establish opposites within. We will own both sides. We will always hide our objective but carry out our plan. They will perform the labor for us and we shall prosper from their toil.
 
"Our families will never mix with theirs. Our blood must be pure always, for it is the way. We will make them kill each other when it suits us. We will keep them separated from the oneness by dogma and religion . We will control all aspects of their lives and tell them what to think and how. We will guide them kindly and gently letting them think they are guiding themselves.
 
Nimeona niikopi na kuipaste in ahalf way.
That's a secret covenant that has been revealed out by one of the Illuminati members.
Anasema itakapojulikana itaonekana ni kama hoax na atakayesikia ataona huu ni kama uchizi ila hali ndivyo ilivyo na tayari tunaishi katika ulimwengu huo.
 
"We will always stand above the relative field of their experience for we know the secrets of the absolute. We will work together always and will remain bound by blood and secrecy. Death will come to he who speaks.
"We will keep their lifespan short and their minds weak while pretending to do the opposite. We will use our knowledge of science and technology in subtle ways so they will never see what is happening. We will use soft metals, aging accelerators and sedatives in food and water, also in the air. They will be blanketed by poisons everywhere they turn.
The soft metals will cause them to lose their minds. We will promise to find a cure from our many fronts, yet we will feed them more poison. The poisons will be absorbed through their skin and mouths, they will destroy their minds and reproductive systems. From all this, their children will be born dead, and we will conceal this information.
So what?
 
Back
Top Bottom