Proved, Azam FC haina mashabiki,uwanja leo ulikuwa mtupu

Proved, Azam FC haina mashabiki,uwanja leo ulikuwa mtupu

Mi nilikuwepo uwanjani ila kilichotokea leo ni kwamba hapa zenji uuzwaji wa tiketi za kuingia uwanjani zinauzwa kwa mfumo wa ovyo sana, yaani tiketi zinauzwa getini pekee sasa watu walikuwa wengi kinoma ikawa tabu tupu
Huwezi amini watu ambao hawajaingia ni wengi kuliko walioingia
 
Back
Top Bottom