Provisional results

Provisional results

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Hivi jamani wana jf uki2mia hizi kutafutia ajira ni nzuri au vp maana roka nianze kutumia cjapata feedback jamani!
 
Ha ha! Kazi lazima uwe na connection siku hizi.
 
Waajiri wengi wanazi ignore.Hata hivyo kazi siku hizi hadi uwe na mtandao.
 
mimi hilo kosa ctakuja kulirudia tena, nilikosa kazi hvi hivi huku tuliomaliza darasa moja wote wakapata kazi
 
kaka kama una cheti kwanini usitumie cheti chako coz sehemu nyingi wanaignore provisional results wanaona watu wanaweza kuforge
 
Provisional iko pouwa sema inabidi uwe na consolidated marklist...ambazo ziko certified na sealed from ur college, zinaonyesha detailed GPA for each semester, na hiyo Provisional inakuwa na CGPA(cummulative)...hapo hukosi kazi.
 
Siku Hizi Hawaangalii CV ya anayeomba kazi, ila wanaangalia CV ya anayekupeleka kuomba kazi
 
Ushauri wa bure: Wanafuni wengi wanatumia provisional results visivyo. Kwanza wengi wakichukua original copy wanazifanyia lamination halafu wanapeleka photocopy. Tabia hii hukosesha wengi kazi. Inabidi muelewe hizo results ni copy ya results zako ambazo chuo ni gatekeeper. Utapelekaje copy ya copy? Mnapaswa kupeleka copy original ya provisional results. Vivyo hivyo kwa transcripts. Imezuka tabia za vijana wengi kufanya lamination hata academic certificates. Mnaviharibu jamani. Hamtakiwi kuzifanyia lamination. Kwa kufanya lamination mnapoteza authenticity markers za vyeti vyenu. Lamination ni sawa na kuwekea gundi juu ya karatasi.
Kitu kingine, vijana mnapeleka results nusu nusu. GPa hamna, hata baadhi ya matokeo hayapo. Kama mwajiri, ni heri nichukue mtu mwenye GPA ya chini aliyekamilisha vitu kuliko mtu mwenye grades nzuri ambaye hajakamilisha vitu.
 
Asante BiMkubwa najua umeongea na mimim moja kwa moja
 
Sasa bimkubwa usipofanya lamination hvy vyeti c vitakuwa havitamaniki kwa mazingira yetu, af hapo khs kutuma copy of copy sijakuelewa vizuri ina maana hy provision ikitumwa ka ilivyo na sehemu nyingn utaombea nin?
 
Kuna namna nyingi ya kutunza vyeti vyako viwe ktk hali ya usalama. Kwa miaka mingi nimetunza vyeti vyangu ndani ya bahasha ambalo ninahakikisha halikunjwi na ninaweka kwenye sanaduku chini kabisa. Kama sanduku huna hata kabatini unaweza ukaweka. Nilipopata kazi nikanunua briefcase. Tena nakumbuka muuza duka alinishangaa mwanamke kunua briefcase. Nikaweka kwenye briefcase. Kwa sasa ninazitunza kwenye safety deposit box kwenye benki.
Cha muhimu vitunzwe mahala pasipo na unyevunyevu.
Kuhusu provisional results au transcript. Unapaswa uchukue copy za kutosha. Ni muhimu sana kuhakikisha unawekeza ktk kutafuta kazi. Pia ukikosa kazi ni haki yako kwenda kudai copy zako za vyeti na provisional results maana hazina kazi tena pale ulipoombea kazi na ukakosa. Kampuni zingine zina tabia za kuwarudishia documents watu waliokosa kazi.
Kumbuka huwezi kupata kazi/kitu chochote kizuri bila investment.
 
kaka kama una cheti kwanini usitumie cheti chako coz sehemu nyingi wanaignore provisional results wanaona watu wanaweza kuforge

Nimemaliza kadegree kangu mwaka huu bana so niliamua na mimi ni post barua za kz
 
Siku Hizi Hawaangalii CV ya anayeomba kazi, ila wanaangalia CV ya anayekupeleka kuomba kazi

SASA cc watoto wa wakulima itakuaje plus no refariis Dah!!
 
Provisional iko pouwa sema inabidi uwe na consolidated marklist...ambazo ziko certified na sealed from ur college, zinaonyesha detailed GPA for each semester, na hiyo Provisional inakuwa na CGPA(cummulative)...hapo hukosi kazi.

Yaani kila ki2 ulichokisema hapo kipo bana cjui ni kwa nini.
 
wewe vuta n;kuvute acha kuzingua wa2 umeambiwa ccm wana toa kazi labda kazi za kuba kura na ufisadi
 
Hapo naona unalalamika kweli kaka pole
tunatumia vyeti tunaitwa kwa mafungu ije iwe provisional tans.
 
Back
Top Bottom