marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Hii ni Smartphone?
Mkuu Bei yako iko juu, punguza.Aminia games tunakuletea PS2 COMPLETE INAUZWA 160K
Ipo katika hali nzuri
imechipiwa
Ina memory card ya kuboot na kusave
ina flash disk 8gb na games 4 unazopenda
Ina pad mojaina cables zote,(waya wa umeme na waya wa kuunganisha na tv)
NIPO DSM 0712705389
mkuu pad inawekwa original ile ya 30k na pia bei inazungumzika,dubai 130k na tanzania itakuwa hivyo hivyo? Pia kuna flash hapo na vifaa vingine,dubai hawakupi flash disk,dubai hawakuwekei games,na mostly mashine zao hazijachipiwa ili zicheze flash,ina maana mpk uchip hapa bongo kwa 30k.Mkuu Bei yako iko juu, punguza.
Mitaan wanauza USED DUBAI mpaka 130,000/- na unapewa na Pads 2
Hujaelewa,mkuu pad inawekwa original ile ya 30k na pia bei inazungumzika,dubai 130k na tanzania itakuwa hivyo hivyo? Pia kuna flash hapo na vifaa vingine,dubai hawakupi flash disk,dubai hawakuwekei games,na mostly mashine zao hazijachipiwa ili zicheze flash,ina maana mpk uchip hapa bongo kwa 30k.
Nlikua namaanisha kama uyumkuu pad inawekwa original ile ya 30k na pia bei inazungumzika,dubai 130k na tanzania itakuwa hivyo hivyo? Pia kuna flash hapo na vifaa vingine,dubai hawakupi flash disk,dubai hawakuwekei games,na mostly mashine zao hazijachipiwa ili zicheze flash,ina maana mpk uchip hapa bongo kwa 30k.