Exciting! Now we can freely enjoy the console.The most secure console of ths generation(not anymore)has been fully hacked by the group of hackers and the man himself Geo Hotz..Sony can do nothing about it but crying in the corner..they claimed that they'll block the hack by firmware update,bt the hackers said that the hack can only be reversed by hardware update smthng which will cost sony their market...and if the do change the hardware,it'll be an endless battle..
waliozoea vya kunyonga utawajua tu! Jamani watu wanatumia hela kutengeneza hizo prog. Wapeni support. Fikiria una kampuni unalipa dev wako lakini watu hawanunui program zako badala yake wantumia pirated. Haihitaji PhD kujua kuwa hutaendelea kutengeneza! Thumbs down for crackers and red handed hackers! :angry:
Watu hao unaowasema wana mahela mengi tayari halafu wachoyo!waliozoea vya kunyonga utawajua tu! Jamani watu wanatumia hela kutengeneza hizo prog. Wapeni support. Fikiria una kampuni unalipa dev wako lakini watu hawanunui program zako badala yake wantumia pirated. Haihitaji PhD kujua kuwa hutaendelea kutengeneza! Thumbs down for crackers and red handed hackers! :angry:
actually games will be heavily and hard to dowload...mfano god of war 3 ina 36GB! How long will u download that file?
jamani through my gaming experience ps3 is one of the best gaming machine i ever seen, since i bought inanishangaza vitu vingi kwanza kuhusu hackers walivyofanya ni tofauti na xbox 360 au ps1 na ps2 kuna kifaa unanunua kinaitwa psjailbreak ambacho kinasaidia kucopy game from cd kwenda kwenye hard disk ya game na uichezee humo humo but madhara yake unakuwa hauwezi kuacess playstation network online wala kupata update, kusema kweli hackers wa kucopy cd ziuzwe buku 5 kama ps2 na ps 1 bado nazani sababu ya blue ray version inayotumia ps3, i bought best game god of war 3 ilivyotoka kwa laki mbili na nusu pale mliman city wakati god of war 1 na god of war 2 nilinunua buku 5 kariakoo enzi za ps2 but sijajutia hela yangu kwa entertainment inayonipa hadi leo nimetoka kumuua god of the sun herios, jamani gharama zinazotengenezewa game za ps3 ni mara 100000 ya gharama za movie za kanumba so tuwasapoti developers kwa kuwachukia hackers