INAUZWA Ps4 inauzwa

Kijana, hii ni Playstation yako ya kwanza nini?!

Hiyo bei umetoka nayo wapi mkuu.....?!

Bei ya soko haizidi laki 7 na hapo umewapiga watu inashuka sana tu......

Wewe unasema milioni 1 duh mkuu hebu uwe unatafiti kwanza. By the way, unajua kuwa PS5 ipo sokoni?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni ya kwangu chief,

bei ni mazungumzo mkuu kwani tunagombana? Unasema ulichonacho tunafanya biashara.

Simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ