ricky eliud
Member
- Dec 21, 2012
- 15
- 1
jaman mimi nina ugonjwa unanisumbua yaan sundo sundo zinaota masikioni kwa nje na huu ugonjwa sijawahi kuupata ndo umenipata, mi sipendi hii hali tafadhali naomba niambien tiba yake nianze mara moja, help me p'se!