R ricky eliud Member Joined Dec 21, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Jun 9, 2013 #1 jaman mimi nina ugonjwa unanisumbua yaan sundo sundo zinaota masikioni kwa nje na huu ugonjwa sijawahi kuupata ndo umenipata, mi sipendi hii hali tafadhali naomba niambien tiba yake nianze mara moja, help me p'se!
jaman mimi nina ugonjwa unanisumbua yaan sundo sundo zinaota masikioni kwa nje na huu ugonjwa sijawahi kuupata ndo umenipata, mi sipendi hii hali tafadhali naomba niambien tiba yake nianze mara moja, help me p'se!