Leo Psg Paris Saint German kwenye game yao dhidi ya Riyadh all Stars kule Messi huku Ronaldo wameonekana wakiwa wamecopy na kupaste jezi za timu kongwe ya Tanzania mabingwa mara 28 Young African.
Ndio lazima tusifie vya kwetu jezi za Yanga ni ubunifu wa kijana wa Kitanzania Sheria Ngowi hakika anahitaji kongole kiuhalisia nyuzi zile nyeusi ni bomba haswa.
Kilichobadiliki ni nembo ya sponsor tu ila muundo ni ule ule hakika mpaka wazungu wameanza kucopy na kupaste vya kwetu basi mazuri zaidi yanakuja.
Hongereni Yanga hongera Ngowi