Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Twawatakia kila la kheri kwenye hiyo fursa waliyoiona. Hata wakila hasara, doesn't really matter.Wenzio wameona fursa ya kupiga hela, wewe huoni
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]daaah, dunia haina usawa. yani huku tumeunda hadi tume 7 kutafutiza pa kudai makanikia, alafu neymar mmoja tu analamba mabilioni hayo. c watupe sisi hizo hela tununuliwe hata bajaji wakati tunasubiri Noah zetu,
Dah mkuu leo amekua fala tena neymar na mlikua mnampa shangwe akifunga magoliFALA HUYO AENDE TU HATUTAKI WAVAA HERENI
Shida ya huyo dogo anajiskia sana kingine Barca hatupendi wavaa hereniDah mkuu leo amekua fala tena neymar na mlikua mnampa shangwe akifunga magoli
What goes around always comes around
Leo kawa fala??FALA HUYO AENDE TU HATUTAKI WAVAA HERENI
Hahaha dah hayaShida ya huyo dogo anajiskia sana kingine Barca hatupendi wavaa hereni
Mara 2 ama 3 mkuu, itavunja rekodi zote za mpira wa miguu
Punguza hasira kijanaFALA HUYO AENDE TU HATUTAKI WAVAA HERENI
Taratibu Mkuu..FALA HUYO AENDE TU HATUTAKI WAVAA HERENI
Kwakwel mkuu...maana neymar atakua analipwa mshahara kwa hela ya kitanzania bilioni 1.9 kwa wiki kabla ya makato ya kodi, sasa kwanini jamaa asiwadengulie barca hahahaPunguza hasira kijana
Pesa ndefu sana hiyo, Leo Hii hawamtaki mvaa hereni eti.Kwakwel mkuu...maana neymar atakua analipwa mshahara kwa hela ya kitanzania bilioni 1.9 kwa wiki kabla ya makato ya kodi, sasa kwanini jamaa asiwadengulie barca hahaha
What goes around always comes around
Kwanini unafikiria hivyo?