Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Ivi VERRATI havai hereni?? mbona mnamtaka??tushamuacha aende kwa wavaa hereni wenzie
Akija lazma aacheIvi VERRATI havai hereni?? mbona mnamtaka??
Mkuu unajua mashabiki hasa wa tanzania tunamatatizo kwelikweli!!Mwanzoni ulipinga hivi kweli?
Hujielewi mkuu!! We komaa na makinikia tu acha wenzako wakapige mapesa!!Akija lazma aache
Hujielewi mkuu!! We komaa na makinikia tu acha wenzako wakapige mapesa!!
Mtaangaika sana!!
Mkuu hawa jamaa siyo wajinga,hiyo hela itarudi tu kupitia biasharaNot worth all that money. PSG are fools
Ameumia kisa anaondoka, Leo ndio anamuona mvaa hereniMkuu unajua mashabiki hasa wa tanzania tunamatatizo kwelikweli!!
Cha kushangaza anayemponda hamiliki hata bajaji!!
Hivi hizo pesa mtu angepewa angekataa?? mpira ni kazi na sio kitu kingine!!
Nna uhakika kama barcelona wangeweza kumlipa hizo pesa wala asingetaka kuondoka!!
Acha aondoke akapate maslahi zaidi... maana hata gaucho aliondoka messi akaonekana!!
Kuna kitu nawaza hapa kuwa wewe ndio utakuwa SHOGA ila kibongo bongo haukulipi sasa umebakiza chuki tu za kikeBARCELONA NI ZAIDI YA TIMU NA NI KUBWA KULIKO SHOGA NEEMA
kwani miaka yote barca inachukua la liga na uefa neymar alikuepo? hivi unajua kabla ya neymar kuenda barca real Madrid ilikua haijagusa uefa kwa miaka zaidi ya kumi? au umeanza kufatilia mpira 2014?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuondoka barca anaondoka ila hatambulishwi leo jumatanoNakurupuka sio hahahaha wabongo bwana.
Nenda fanya research yako au muulize salim kikeke atakuambia hahaaha au mpaka mumuone ameshika jezi ya PSG mbele ya mnara wa kule PARIS
What goes around always comes around
Unaona au? Mbona alishaghairi kwenda huko siku nyingi kwa ajili ya usajili? Yaani aache mpunga wa maana aende kwenye stad show?neymar mbona alikuwa china kwaajili ya promotion na leo anarudi barc kesho mazoezini kama kawa na barcelona au unamzungumzia neymar sr ndio aliyeenda dubai?
Ameshashinda vikombe vyote vya club na barca na bado akiwa barca ataendelea kuwa nyuma ya messi, acha akapige mkwanja na awe the main man! Dogo kaona mbali!akibaki barca atacheza nyuma ya kivuli cha messi bora aondoke
Sometimes watz ni wajinga sana...huyo jamaa hajielewi!!Ameumia kisa anaondoka, Leo ndio anamuona mvaa hereni
Anaumia kweli, aisee. Huu ushabiki sio kabisa