John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Matokeo ya mechi za kwanza hatua ya mtoano, PSG ikianza vizuri nyumbani kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Madrid.
Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango cha Meddi ni kweli kinazidi kushuka au hajakaa sawa?
Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango cha Meddi ni kweli kinazidi kushuka au hajakaa sawa?