reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Naandika mmekerekwa haswaa, serikali kupitia mfuko wa pension kwa watumishi wa umma mwezi February hawajawalipa mishahara wazee wetu kwa madai wanafanya uhakiki, sidhani km ni sahihi kutowapa haki Yao wengine wanategemea pension kujikimu mnawatesa mnoooo.
Mbaya zaidi wakija hapo mnawajibu vibaya majibu ya hovyo. Mfano Kuna Binti hapo anavaa shungi aliwajibu wazee wetu "msiishi kimazoea'. Yaani haki yao mnawatesa nayo, walifanya kazi kwa uaminifu na uzalendo, wengine wazazi wetu walikua wachamungu wa kweli hawakua wezi hvyo maisha yao ya kiutumishi yalikua ya kawaida na hata Baada ya kustaafu sio matajiri, wanaishi kupitia visenti tunavyowapa lakini pia wanatumia pension zao.
Unapomjibu Mzee wa watu asiishi kwa mazoea unajiskiaje we mtumishi wa Umma, mnakosea Sanaa,uhakiki wenu ungeendana na kuwalipa chao kabisa kuna wazee walitoka mbaali kufatilia hapo Dar afu wanakutana na majibu ya hovyoo eti wasiishi kwa mazoea. We dada uliyewajibu wazee wetu hapo headquarters Dar es Salaam utalipwa ulichostahili.
Vijana wa siku hzii sijui tuna shida Gani kumjibu Mzee wa miaka 70 kistaarabu inagharimu kiasi Gani?!!au Kwa kua sio mzazi wako. Mnakera nyie watu wa Huko kwa mataasisi na kauli zenu za kuumiza, hamjawalipa badala ya kuwajibu vzr mnawajibu kauli chafu za kuhuzunisha. Najua mpo mnasoma na ujumbe utawafika.
PSPF Dar es Salaam mdada aliyewajibu hayo majibu wazee wetu wanamjua anavaa ushungi, na umeharibu taswira ya vazi lako, Mzee akasema sikutegemea Binti kama yule angetamka maneno Yale daah, mtoto mdogo mkatili anajiona amefika pale hajui hii dunia. Na walikua wazee kadhaa pale wameenda kufatilia pesa yao imekua shida mnawekejeli.
Badilikeni na muwalipe hyo thuluthi yao Kwa wakati.