PSPF hatarini kufa

Serikali inadai 3.1trillion. Je ni deni la pesa ambazo serikali imechukua au ni michango ya civil servants ambazo serikali haikupeleka. Ufafanuzi tafadhali

nilimuuliza jamaa ambayo anafanya kazi huko pspf ameniambia hilo deni serikali inadaiwa ni ruzuku/subsidies kutokana na formular inyotumika na pspf kwa makubaliano na serikali ambapo wastaafu wa mfuko huo wanalipwa mafao makubwa ambayo hayalingani kabisa na michango waliyochangia.ambapo wanabase zaidi miaka ya utumishi, kwa hiyo tofauti serikali ndio inachangia.sasa ishafika trilioni 3.
 
Sio PSPF peke yake.

Mke wangu, ambaye ni mfanyakazi wa serikali, huwa anadunduliza kupitia WADU ya benki ya Posta. Amenishangaza jana kuniambia serikali haijapeleka makato ya WADU kwa miezi ya Jan, Feb, na March mwaka huu! Kwa mtindo huu WADU pia iko hatarini kufa kwa kukopwa na serikali na ofcourse itakimbiwa na wateja ambao in reality ndio wanaokopwa.
 
Mawazo mazuri, lakini je SSRA ina meno ya kuwagusa watu kama akina Dau na Erio?

Hivi unadhani SSRA ikifanya kazi yake CCM itasimama tena??

Ni kazi kwelikweli
 
Mmepewa kazi maalum na mtu maalum!!! Thread ya 2011, leo unatupia tuneno tutatu ili ije front.
Acha kutumika.
 
Ingekuwa NSSF tungejazana humu,lakini hii .. .......
 
Ingekuwa NSSF tungejazana humu,lakini hii .. .......
[emoji13] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] dau
Udini[emoji85] [emoji85] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…