Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 451
Jamani nimesikia pspf wameshatoa majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview kwa yeyote mwenye habari kamili atujuze wakuu
nawasilisha
nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa but nimeingia kwenye web yao sijaona lakini huyo jamaa amenihakikishia wametoa so kama kuna mwenye habari kamili au kwa wenzetu wanaofanya kazi huku wafunguke hapa
Kwa maandishi haya, naona kuna haja ya kuelimishana maana ya serikali!Ha ha ha ha unategemea kuajiliwa na mashirika ambayo yanawezeshwa na serikali ambayo kila siku unaidiss na kuitukana humu jf?ha ha ha pole.jiajiri kijana ili ujimwage vizuri.
Ha ha ha ha unategemea kuajiliwa na mashirika ambayo yanawezeshwa na serikali ambayo kila siku unaidiss na kuitukana humu jf?ha ha ha pole.jiajiri kijana ili ujimwage vizuri.
Umeongea cha maana sana Joyce.Ha ha ha ha unategemea kuajiliwa na mashirika ambayo yanawezeshwa na serikali ambayo kila siku unaidiss na kuitukana humu jf?ha ha ha pole.jiajiri kijana ili ujimwage vizuri.