Pspf interview

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
Jamani nimesikia pspf wameshatoa majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview kwa yeyote mwenye habari kamili atujuze wakuu

nawasilisha
 
washafillisika ao.

ahh sijui mwaya..soma magazet km vip
 
poa but nimeingia kwenye web yao sijaona lakini huyo jamaa amenihakikishia wametoa so kama kuna mwenye habari kamili au kwa wenzetu wanaofanya kazi huku wafunguke hapa
 
wameshatoa.interview ni tarehe 7.kwenye website yao yapo majina yote
 
poa but nimeingia kwenye web yao sijaona lakini huyo jamaa amenihakikishia wametoa so kama kuna mwenye habari kamili au kwa wenzetu wanaofanya kazi huku wafunguke hapa

google jina lako then soma results zote ndo utaona kama umekuwa shortlisted au vp?
 
Ha ha ha ha unategemea kuajiliwa na mashirika ambayo yanawezeshwa na serikali ambayo kila siku unaidiss na kuitukana humu jf?ha ha ha pole.jiajiri kijana ili ujimwage vizuri.
 
Inaonekana kuna nafasi nyingi sana,wameshortlist watu karibu 1500
 
Ha ha ha ha unategemea kuajiliwa na mashirika ambayo yanawezeshwa na serikali ambayo kila siku unaidiss na kuitukana humu jf?ha ha ha pole.jiajiri kijana ili ujimwage vizuri.
Kwa maandishi haya, naona kuna haja ya kuelimishana maana ya serikali!
 
poa wakuu nashukuruni sana nimeyapata majina kwel jamii forum ni kila kitu,

viva jamii forums
 
Ha ha ha ha unategemea kuajiliwa na mashirika ambayo yanawezeshwa na serikali ambayo kila siku unaidiss na kuitukana humu jf?ha ha ha pole.jiajiri kijana ili ujimwage vizuri.
Umeongea cha maana sana Joyce.
Wata hapa wanajidai kuikandya serikali... halafu tena ndio wanang'angania kuingia tena huko!
Tafuteni alternatives...tuliopo tunatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…