L LUSANGA Member Joined Apr 2, 2012 Posts 31 Reaction score 3 May 19, 2012 #1 jamani kwa wale tulofanya interview Pspf tar 19 march je washaita watu wao kazini?sie watoto wa kina baba kabwela najua hatuez kuingia palee.
jamani kwa wale tulofanya interview Pspf tar 19 march je washaita watu wao kazini?sie watoto wa kina baba kabwela najua hatuez kuingia palee.
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 354 May 19, 2012 #2 Kama unajua huwezi kuingia ni bora usiulize ili usiumie.
moyo wangu Member Joined Nov 18, 2011 Posts 59 Reaction score 13 May 20, 2012 #3 Kama huna ndugu pale ucjisumbue maana mimi kuna mtu namjua pale kila zktoka nafas za kaz lazma anambie ila bahat mbaya unakuta sicho nilichosomea....pspf wanaundugu sana na wanaekana marafiki wenyewe kwa wenyewe
Kama huna ndugu pale ucjisumbue maana mimi kuna mtu namjua pale kila zktoka nafas za kaz lazma anambie ila bahat mbaya unakuta sicho nilichosomea....pspf wanaundugu sana na wanaekana marafiki wenyewe kwa wenyewe
B bodachogo Member Joined Apr 14, 2011 Posts 89 Reaction score 8 May 20, 2012 #4 mfuko wa watoto wa wakubwa,pole kama wewe sio