PSPTB: Mkuu wa Wilaya anapokuwa muhimu kuliko Professional Board

PSPTB: Mkuu wa Wilaya anapokuwa muhimu kuliko Professional Board

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20210805-073301_Drive.jpg

Hii ni bodi ya Wataalamu Manunuzi na Ugavi. Imeshindwa kutoa matokeo ya mitihani ya watahiniwa tangu mwaka jana mpaka jana. Ikiwa ni mitihani ya vikao vitatu mfululizo yaani Agosti na November 2020 na Juni 2021.

Wameshindwa kwa sababu Rais hajateua mwenyekiti wa bodi ambaye kisheria yeye na bodi yake ndio wanaidhinisha matokeo. What a shame to the appointing authority.

Yaani rais amepata muda mpaka kuteua mkuu wa wilaya ambaye wilaya inaweza kufanya kila kitu bila yeye, lakini akaona sio kitu kuteua mwenyekiti wa professional body ambayo imeshindwa kutoa matokeo ya mitihani kwa sababu yake.

Bongo Bahati mbaya sana.
 
Sijaelewa mtihani wenyewe Bado matokeo yatakujaje
 
Makozi mingine hata sio ya kusoma kbs..japo ukifanikiwa kwenye uhasibu shavu ika kwenye ugavi mmmh mashaka kuajiriwa
 
Back
Top Bottom