Hongera sana uzi mzuri.Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Umeelewa mada kweli mkuu?WRITTEN INTERVIEW FORMAT.
Maswali huwa 4.
Dakika mnapewa 40.
That means kila swali dakika 10.
Hivyo jitahidi uwe as brief as possible.
Usizunguke sana, hit directly kwenye point.
Then vimaelezo kidogo, then sepa.
Hiyo kitu aloweka ya msingi sanaUmeelewa mada kweli mkuu?
vp kuhusu interview za latraHongera sana uzi mzuri.
"Tell me about your self? "
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mbona umeweka ma4?Interview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
Moja nimesahau kiongozi
Kwa hizo nyanga ulitoboa kweli mkuu?Interview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
maswali ya moto mnooKwa hizo nyanga ulitoboa kweli mkuu?
Mkuu wewe ni geologist bila shaka au unahusika na mageology hasa petrolleumInterview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
😂😂😂😂Humo humo mkuuMkuu wewe ni geologist bila shaka au unahusika na mageology hasa petrolleum