PSRS interview questions (written, pract & oral)

Akhsante Mkuu kwa kushare tunaomba na maswali ya Customs..
 
Wewe ndiye uliyetukanda!
 
WADAU🛑 WADAU🛑WADAU🛑WADAU🛑



Nina swali Moja namba mnisaidie kupata majibu please.





Wadau hebu tuassume mtu umeomba kazi kwenye Taasisi mbili, Moja ni Chuo kikuu ambapo umeomba post ya TUTORIAL ASSISTANT na nyingine ni Taasisi ya kawaida ya serikali ambayo umeomba post ya MCHUMI.



Halafu ikatokea mfano mtu umeitwa kazini kwenye hiyo post ya TUTORIAL ASSISTANT ambapo baada ya muda ukaitwa kwenda kuchukua barua.



Mara baada ya kuchukua barua ukaitwa tena kwenye interview nyingine ya Taasisi nyingine hiyo ambayo uliomba post ya MCHUMI ambayo hapa sasa sio Taasisi ya ufundishaji ila nako ukaenda ukapiga interview ukatoboa mpaka oral.



Sasa swali langu ni Je kama ukitoboa mpaka Oral na oral pia ukafanya poa Je unaweza kuitwa kazini ilihali tayari ulishaenda kuchukua barua ya Ufundishaji ya post ya TUTORIAL ASSISTANT ambayo uliichukua chuoni ?



Na Je what if mtu umeanza kazi ya TUTORIAL ASSISTANT, let's say una miezi mitatu tokea uanze kazi je hapo inawezekana kwenda kuomba kazi ajira portal na kupita written na oral na kuitwa kazini ukapige kazi kama MCHUMI ilihali una miezi mitatu tu tokea uanze kazi chuoni kama TUTORIAL ASSISTANT?







Naombeni majibu kwa anayefahamu please🙏
 
Wadau habari zenu naomba msaada kwa mtu anaejua au anaweza kunisaidia maswali yanayoulizwa kwenye written ya afisa biashara.
 
swali la 3 wamecop n paste kwa Kothari kama lilivyo.
 
Maswali ya Afisa Tawala II, mwenye kuyakumbuka aweke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…