Uliomba post gani?tupe basi mikeka ya TAA ndugu
Hii link had leo haijatumwsNisaidie Link ya WhatsApp ndugu
Link za magrupu humu huwa zinafutwa na moderators wa JFHii link had leo haijatumws
Link za magrupu humu huwa zinafutwa na moderators wa JFHii link had leo haijatumws
Mkuu jaribu kupitia zile Job responsibilities kwa umakini..Wakuu msaaada wa maswali kada ya procurement
Asante mkuuMkuu jaribu kupitia zile Job responsibilities kwa umakini..
Maswali yanatoka kule..au topic zinazoendana na hizo job responsibilities..
Kwa mfano labda moja ya job responsibilities ni "To prepare Asset register."
Hapo unatakiwa usome Asset na uielewe in deep.
Wakuu vp kwenye hii kada ya Trade officer, kama kuna mwenye angalau hints zake msaada jamani kwenye written interview.Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Ushauri nenda kwenye search hapa jamii forum andika account officer ii,alafu bonyeza kila link utakutana na hints maana nimefatilia huu Uzi hamna hints za kutoshaJamani msaada wa maswali kada ya MSAIDIZI WA HESABU II kwa oral na written
KiongoziKwa
Ushauri nenda kwenye search hapa jamii forum andika account officer ii,alafu bonyeza kila link utakutana na hints maana nimefatilia huu Uzi hamna hints za kutosha
Vipi umeshapata mkuu maana na mimi nineshaingia written mbili sijafanikiwa kufika oral....Bora wewe ambaye ushaingia oral kadhaaa sisi wengine tunaishia written tu nadhani siku iyo nikiingia oral ya utumishi basi kazi nimepata
pole sana chiefVipi umeshapata mkuu maana na mimi nineshaingia written mbili sijafanikiwa kufika oral....