sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
Acheni kuwasumbua wazee wa watu. Leo masikini wazee wanakwenda kutafuta hela zao bank wanaambiwa hakuna hela kwa vile hamjahakikiwa. Hamjawahi kutoa notice ya uhakiki kwa mwezi wa January, 2020, mnategemea mtu atapataje taarifa.
Acheni uhuni na utapeli, kama mmeishiwa hela waambie wastaafu wajue hatima yao mapema. Na hii ni uthibitisho kuwa mifuko inafilisika! Mna buy time mkusanye vihela ndio muwalipe.
Acheni uhuni na utapeli, kama mmeishiwa hela waambie wastaafu wajue hatima yao mapema. Na hii ni uthibitisho kuwa mifuko inafilisika! Mna buy time mkusanye vihela ndio muwalipe.