Naunga hoja,Jana kuna wazee watatu nimewakuta wamekaa chini kwenye ATM ya Bank ya Posta tawi la Kenyata Mza nilivyotoka wazee wakaniambia ,pesa zao hawajawekewa na wametoka mbali na hawana nauli hata yakuludia makwao,ilibidi niwape nauli,kumbuka mida hiyo ilikuwa saa tisa jioni