PSSSF Kuna nini? Hebu semeni tu kwa sasa Tanzania hakuna mafao ya wastaafu

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Naomba serikali kuu itupie jicho psssf Kuna shida kubwaaaaaa sasa sijui tunwalaumu bure Labda maelekezo toka ngazi za juu aya wanayofanya mtu mafao unafatilia miaka mara sijui linapotea sijui nini Daaah inatia hasira sana
 
Hamia burundi mkuu
 
Pole, naoana una uchungu hadi umeshindwa kuandika vizuri.

Inakera sana kuona haki yako unaanza kuidai wakati iliandaliwa kwa ajili yako.
Hata siku moja huwezi kusikia file halionekani wakati wa kuchangia.
 
Back
Top Bottom