KERO PSSSF kutokuwa na ofisi au wawakilishi Wilayani ni changamoto

KERO PSSSF kutokuwa na ofisi au wawakilishi Wilayani ni changamoto

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwanini mfuko wa jamii wa PSSSF hauna ofisi wilayani au hata wawakililishi? Mtu unasafiri umbali mrefu kufuata huduma mpaka mkoani unatumia gharama kubwa sana
 
Back
Top Bottom