PSSSF Mfuko wa pensheni kwanini hampokei simu na hamjibu email

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Sio busara hata kidogo, leo imetulazimu watu kama wa 3 hivi kwenda ofisini kwao baada ya simu za meneja kutopokelewa juzi tuliandika sms na pamoja na kuwapa check namba watuangalizie pensheni na mafao yatakuwa tayari lini, tulipofika ofisini hawana majibu.

Leo waziri Mkuu ametangaza bungeni kuwa mama ametoa Bil 50 wanunue mahindi, hivi pesa hizo 25 kuwapa wastaafu na 25 kununua mahindi ni kwamba haiwezi kuwa busara, Mungu atusaidie

Mama Samia aliahidi kwamba kila mwezi atakuwa analipa mafao, sasa sijui toka mwezi wa 5 mwaka huu ameendelea na utaratibu au ndo hivyo tena
 
Wastaafu bado wanateseka ya rabi... I can imagine maza atakavyosota maana ndo kwaaanza amepeleka doc
Mkuu ikitoka tugawane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom