Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), ni kielelezo cha utekelezaji wa maono ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Waziri Kombo ametoa kauli hiyo Jijini Arusha wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa ukumbi huo utakaokuwa mkubwa zaidi nchini.