PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi).

Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom