Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Kama mnavyojua majirani wanapenda kuishi kwa janja janja nyingi. Kutokana na uwezo mdogo wa kujenga majengo marefu, they are cheating kwa kupandisha minara mireefu juu ya majengo yao ili kuyaingiza kwenye chati za uongo na kweli za majengo marefu.
Hili sio jambo geni. Mtifuano kama huu uliwahi kutokea wakati jengo la State empire na jengo la Chrysler linajengwa na kila mmoja akaamua kuweka mnara mrefu zaidi ili kumzidi mwenzake.
Sasa kwa hapa nchini, naamini nyinyi na TPA ndio wenye majengo marefu zaidi nchini.
Lakini kama mtakuwa mliwahi kusoma somo la Civics basi naamini mtakuwa mmeshakutana na msamiati unaitwa National Pride.
Hii imefanya nchi nyingi za Asia na China kujenga majengo marefu ili kuingia kwenye chati.
Kwa kuwa Kenya wameanza, sisi tumalize.
Tafuteni hata kampuni za simu au Tanesco wapandishe towers zenye height kama ya mita hamsini kwenye majengo yenu marefu ili kuyafanya yawe marefu zaidi exceeding Kenya standards. Kama wao Wakenya wamefika mita 200, nyie wekeni mnara mrefu mfike mita 205.
We need to run fast. Tumedhamiria ifikapo 2030 hawa jirani wawe wamesha tafuta nchi nyingine ya kujilinganisha nayo kwenye sekta zote za miundo mbinu. Sasa huku kwenye majengo marefu, tunawategemea nyie. Msituangushe the giants of East and Central Africa.