PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa na kununua magari kinyume na taratibu

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.

Screenshot_20220923-094847_Drive.jpg

Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma taarifa zaidi Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

Pia soma:
 
Attachments

... kwa hiyo ni uongo kwamba viongozi hao wamefikishwa kwenye baraza la maadili? Well, mnawakopesha magari ili kupunguza gharama, why magari ya thamani ya TZS 200m+?

Hata kama watakatwa kwenye mishahara yao ni makato ya miaka mingapi kumaliza deni? Mmesoma time value of money ninyi?
 
Kwa hiyo hao viongozi wa PSSSF walioitwa Tume ya maadili kwa kutenda kinyume na utaratibu sio wa PSSSF?
Kama sio wa PSSSF ni wa Taasisi gani? (lakini tunawajua sana tu na sijui kama walihama PSSSF)
Walifikaje Tume kama sio nyaraka za kutoka hukohuko PSSSF?
Vitu vingine ni aibu kabisa!
 
Hii mikopo ya zaidi ya mil. 200 ni ya kujipimia kwa urefu wa kamba, sisi tunaochangia hamjawahi hata kufikiria kutukopesha walau robo ya michango yetu.
 
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.

Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma taarifa zaidi Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

Pia soma:
STUPID INDEED....Endeleeni kula michango tu ipo siku atatokea kiongozi makini lazima patachimbika....
 
Hao PSSSF wana tabia ya kulindana siyo kwenye hili tu.

Mfano ni Kitengo cha Huduma kwa wateja HQ chenyewe kimejaa wezi watupu pale wanaotumia taarifa za ofisi kupigia wastaafu kwa namba binafsi na kuwatapeli.
 
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.

Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma taarifa zaidi Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

Pia soma:
Kuna jambo hawajaweka sawa.
Je sera za mfuko zinaruhusu mtu kununua gari chakavu na Mfuko kulipa kodi ya hilo gari?
Suala la kukopeshana linajulikana, ishu iko kama utaratibu ulifuatwa
 
STUPID INDEED....Endeleeni kula michango tu ipo siku atatokea kiongozi makini lazima patachimbika....
 
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.

Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma taarifa zaidi Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

Pia soma:
Ni wajinga sana hawa wanakanusha taarifa ambazo ziko kwenye website ya baraza la maadili, halafu walivyo wajinga hawajui kama bandiko liko huko wanakuja na ngonjera,hawa wakurugenzi most of them walitoka ppf na Erio, na walifisadi ppf hadi ikataka kufa, wameenda psssf na kuwaondoa wakurugenzi walokuwa wa lpf,pspf na gepf wakajitwalia madaraka ili waendeleze ufisadi.
Mama kamata weka ndani
 
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.

Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma taarifa zaidi Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

Pia soma:
Hata hivyo, ushahidi kutoka Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) unaonyesha kuwa gari alilonunua Bw. Chawe lenye nambari za usajili T607DTQ lilisajiliwa kwa mara ya kwanza na mamlaka hiyo tarehe 12/6/2020 na mmiliki wake wa kwanza ni Bw. Kipemka Msemembo Musa.

“Mnamo tarehe 4 Mei, 2021 umiliki wa gari hilo ulihamia kwa Bw. Chawe kutoka kwa Salim Cars wa Dar es Salaam. Salim Cars alilinunua kutoka kwa Jaji Musa wakati gari hilo lilisha lipiwa kodi na Serikali,” ulieleza upande wa malalamiko.

Serikali ilinunua gari hilo na kumpa Jaji Musa kama stahiki yake alipostaafu.

Mlalamikiwa amekiri mbele ya Baraza kuwa mmiliki wa kwanza wa gari hilo ni Jaji Musa.

“Ni kweli gari hilo alipewa Jaji Musa kama stahiki yake, lakini aliliacha Toyota kwa lengo la kutafuta mnunuzi mwingine,” alisema Bw. Chawe.

Alipoulizwa kama Salim Cars anayedaiwa kulinunua kutoka kwa Jaji Musa alimuonyesha hati za malipo ya kodi, mlalamikiwa ameshindwa kulithibitishia Baraza.

“Mfuko wa PSSSF ulimlipa fedha za kodi Salim Cars, sio mimi, malipo haya yalilipwa baada ya kujiridhisha na kiasi cha kodi kilichotakiwa kulipwa,’ alisema.

Hata hivyo mlalamikiwa alipoulizwa mbele ya Baraza kama kiasi cha shilingi milioni 13.6 ambayo ni asilimia 10 ya Tsh 135 milioni iliyotakiwa kulipwa TRA kama gharama ya uhamisho wa umiliki wa gari ililipwa ameshindwa kulithibitishia Baraza malipo hayo.
 
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.

Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma taarifa zaidi Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

Pia soma:
Hayo maelezo wangeenda kuyatoa kwenye hizo mahakama zao za mchongo.
 
Back
Top Bottom