PSV vs Manchester United

harold mbise

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
55
Reaction score
12
PSV Eindhoven imetwaa ubingwa wa kwanza wa ligi kuu ya Uholanzi baada ya kupita takribani miaka saba. Ushindi wa mabao 4-1 nyumbani, Phillips Stadium dhidi ya Heerenveen uliwapa ubingwa wa 22 na kuwavua ubingwa Ajax Amsterdam ambao walishikilia taji hilo kwa miaka minne mfululuzo.

Mara ya mwisho kwa PSV kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini humo ni msimu wa 2007/08 kisha timu ndiye kocha mkuu wa timu hiyo. Nahodha huyo wa zamani wa Uholanzi na klabu za FC Barcelona na PSV ameweza kutengeneza timu imara ya vijana nchini Uholanzi.

Ni mchezaji mmoja tu wa kigeni ambaye alianza katika kikosi cha kwanza dhidi ya Heerenveen, kiungo mkabaji raia wa Mexico, Andres Guardado mwenye umri wa miaka 28, wachezaji wengine kumi walikuwa ni vijana chini ya miaka 24 raia wa Kiholanzi. Tunachoweza kujifunza kutoka kwa timu hii ni uvumilivu, uaminifu huku suala la kiwango likiwa muhimu.

Je leo tutarajie nn kutoka kwa psv zidi ya man utd karibuni
 
Man u ...forever....kama Ukawa forever!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…