Psychedelic Drugs & Consciousness

Huu ushauri naweza ufata hata nikiwa siumwi kama brother hapo
Naona its cheap na ina faida nyingi
 
Ukienda special place ya sauna wanaweka nini kwenye ile steam?

I cant afford for now, so nataka nipige sauna(nyungu) home tu
 
Tipic ni nzuri mkuu na pia umenikumbusha kisa cha bondia mike tyson alipotumia psychedelics katika safari yake ya spiritual awakening akajikuta kageuka kuwa chura na anongeea na chura hahaha anasimulia aliogopa sana pale dawa ilipoanza kufanya kazi kiasi cha kutamani iishe mwilini. Upatika aji wa hizo dawa hapa Tz upoje? Kama unafahamu
 

Mkuu umemsoma mtu mmoja indian shaman anaitwa don juan matus?
 
DMT plant containing, hasa hilo lenye rangi ya zambarau ukiipata inatumikaje? Msaada tafadhali?
Mbarikiwe kwa kutupatia maarifa haya
 
Huu uzi bila kula mmea huwezi ku uelewa.

Umesema kweli. I was interested na divine secrets ya hii mimea following my studies.

Yaani was asking my self hizo effect za kushift from one state of mind to another . My first Puff, nikaanza kuelewa walikuwa wanamaanisha nini. The shifting. Mtu alikuwa akiniambia you need to live in now . Sikuwa naelewa.

Cannabis and Psychedelic ilinifanya nielewe what does it mean the word NOW.

Scientists wengi hasa Kwenye medical field walitumia hizi mambo ndio maana unaona wame establish standards ambazo zinawasaidia wengine. Asilimia kubwa walioandika hivyo vitabu vya hard drugs na Psychedelic wengi walishatumia ndio maana wakaweza kuandika vitabu na kuviishi

Mdau hapo juu ameeleza Bangi inamfanya awe suspicious Yaani anakuwa na machale sana. Kama hujawahi kutumia mmea Huwezi kuelewa anamaanisha nini

Namshauri TEAM666 aandike kitabu chake au article kwa ajili ya kusaidia wengine.

Wataalam wa Literature na Language wata M guide na namna ya kufanya marketing kitabu chake.

Jamaa ni hazina inayotembea. Usikubali kuwa maskini kaka una siri kubwa. Usife nayo kaka na utajiweka sawa Financially.
 

Ha ha. Umenikumbusha mbali. Mara ya kwanza kutumia DMT Yaani Ayahuasca. Nililia sana. Nikaona sijawahi kujitendea haki. Sijawahi kuwatendea haki binadamu wengi. Nikaona nilikuwa na EGO kubwa. Niliomba sana msamaha. I forgave my self and others.

Baadae nikaoneshwa kifo changu. Nikawa siamini. Nikahisi Muda wangu nimeutumia vibaya, nime poteza opportunities nyingi kwa uoga.

Guide wangu alipoona naanza kupata hizo effect , akawa anani guide , yaani nikaanza ku Transcendent Beyond the doubt and odds. Mwisho akanileta kwenye Sky, moon and starts; Aisee, nikasema kweli the world has a lot ambayo our naked eyes can not have that glimpse. Nilifanikiwa kuona the glimpse of life itself.

Niliona mambo ambayo i cannot menton here. Baadae ninakumbuka sipaswi kuipoteza hii chance. Nikaomba pen na Karatasi. Kwa kweli my life from that point , I became a new being. It is hard to stay mad.

Hard to explain.
 
Ukienda special place ya sauna wanaweka nini kwenye ile steam?

I cant afford for now, so nataka nipige sauna(nyungu) home tu

Hata Nyungu sawa kaka.

The Chamber ya Sauna inakupa Maximum temp kwa muda mwingi na ina drain lots of toxic kwa mwili wote.

Ule mvuke sio lazima uutumie. Unaweza ukaenda na content zako za kujifukiza ukatumia hizo badala ya hizo unazozikuta.

Canada mgonjwa mpya wa presha na kisukari, kabla ya kuanza kuandikiwa medications, wanakuwa prescribed kufanya Sauna for at least miezi 3 kwa kila mwezi mara 2;

baada ya vipimo , kama presha na kisukari bado ipo juu, ndio huandikiwa dawa.

So Sauna ni one of the best medication for total rejuvenates
 
It is true; kwa mfano pia, Creativity ya Pharmaceuticals Industry and Medicine Researchers wanategemea sana Hii mimea.
-
Yaani mtu astue kwanza, apate ile Transcendence ndiyo awaze nini cha kufanya. Baadae Mtu anakuja na majibu na kama ni Dawa atakwambia tufanye hivi hii dawa itatibu : na kweli inatibu ; ukimuuliza inafanye kazi vipi?! Atakwambia sijui. Kwasababu wanapata majibu wakiwa kwenye Transcendance Mode. Sasa wakirudi Kwenye Normal Mode, hawezi kupata Majibu. Unless other researchers waje kufanyia kazi ile idea yake na kuitengeneza kisayansi zaidi.

Ndiyo ile unasikia dawa hii inatibu ugonjwa fulani but mechanism is unknown.

Hollywood wengi wanatoa idea za move za kufa mtu wakistua na psychedelic substance. Nyimbo nyingi za kina The Beatles, Bob Marley na wengine ili waandike mashairi ambayo ni more meaningful and spiritual ni lazima kwanza wa transcendent beyond their minds limit.
-
Na hii ndio Sababu nyimbo zao mpaka leo leo still makes sense to this life.
-
The song like Redemption, unaona kabisa Bob was out of his body. The Movie like The Wizard Oz, it has a lot of hidden message juu ya hizi Psychedelic.

The Movie like American Beauty.
-
Siri kubwa ya Steve Jobs, ipo kwenye Psychedelic. Alisafiri hadi India, under spiritual guidance, Job contacted DMT and LSD as a natural plant. He also learned about the Power Within.
-
It is so fascinating
-

Hawa Spirutual Teachers , kama mapadri, wachungaji wenye nguvu, psychedelics ndio siri yao kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah Mk54 naweza kuwa mwanao(Son) [emoji28]
Siwezi kuamisha maarifa yako yaje kwangu lakini utanipa guidance nzuri sana
Bila kusahau nipo kwenye FEAR ZONE

Hongera sana FEAR ZONE ndio the Real Devil [emoji49]. Yaani ukiweza kuelewa kwamba there is no reason to be afraid, umefaulu.

Kwa Sababu Fear Zone ni mbegu iliyopandwa since day one ya childhood yetu. Ndio maana it is so hard kuondoa fear ya Mtu.
Imagine unaanza kumwambia mtoto sijui ukifa Mungu ataenda kukuchoma moto,utaenda kuteswa kaburini na malaika 70 . Sijui utachomwa moto. So ile creativity ya mtoto out of fear inakuwa imeshauliwa.

Na maisha yake yote ataishi kwa muktadha wa uoga. Hata Zone ya kujifunza hatoisogelea.
Kauli yake mbiu ni umekuja kuabudu. Hivyo elimu yako ni kuabudu tu

Elimu nyingine yoyote ataona inataka kumtoa kwenye maisha ya uzima. Matokeo yake anaishi the whole life akiamini kuishi hivo ndio kutamfanya aingie Uzima.

, anasahau kwamba so many people died ili leo hii yeye kujua dose halisi ya magnisum Sulfate Injection kwa mama mwenye kichaa cha mimba( Eclampsia) , so many people died kupata dose ya Oxytocin ( maji ya uchungu) , so many people died to establish epidural dose ili mama azae kwa upasuaji vyema etc etc . Hizi zote ni knowledge out of fear and comfort zone.

Watoto wako usiwafundishe uoga. Teach them to question, to conform, to believe in themselves to learn as much
As they can .

Tell them kwamba wamekuja kuimilika hii dunia, dunia bila ya wao bado haijakamilika na ndio maana wapo duniani.

Aidha, bila elimu na Maarifa ya elimu out of fear huwezi kumiliki dunia . They should never be caged bird [emoji1659] . Let them be .

Uoga ndio umetufikisha hapa kama Taifa.

Uoga ni real devil , hata kama umesoma for as long as upo kwenye zone
Ya uoga, ni katika uhalisia huo maisha yako yatakuwa ni KISANGA

Great things are never easy; great things hufanywa out of fear. Great things hufanywa kwenye zone ya Learning na Growth !
 
Nitarudi
But “I think” drugs ni Kwa ajili ya ku alter consciousness au brain waves Kwa muda then unarudi kawaida. It’s like umewasha tochi gizani for a while then unarudi gizani. So it’s about experience not permanent state.
That union we say “we are only one” is a permanent state. Unakufa kabla hujafa physically. Hio kitu wengine wanaita “enlightenment” ni permanent state sio experience. Aldous huxley ali “experience” hakuwa na permanent state. ......
 
Mara ya mwisho kuvuta ni lini ? Na je bado unaendelea ?
now inafika mwaka 1 nimekua mtu wakuonja paff mbili mwisho Tatu


Lkini kipindii naanza nilikua namaliza hd bangi 4 Hadi 5 kwa siku


Now nikivuta tu viongo vyangu vinakua dhaifuu kifua kinabana au moyo mapigo yamoyo yanakwenda ndivyo sivyo au vyote vinakutana pamoja pia naweza kupata Hisia za upwekee roho huanza kutanga tangaa
 
Ahsante nitaifanyia kazi hili Muda mchache kuanzia hapa
 
Diamond Platinum Nasibu Abdul Juma

Hua anatumia hizi Drugs anapotunga mashahili yake anapofanya Record za Nyimbo zakee

Pia anapopanda kwenye Stages kupiga Show


All all Disition zake anakua Yuko na Stimulation

For my research Kwasababu but sijasibitisha anatumia Drugs Aina gani Marijuana or what

cc Mshana Jr
 

Unamaliza Bangi 4 hadi 5 kwa siku ? You mean Misokoto? Kama ni Misokoto then Mkuu you were really misusing the Cannabis. I think naweza kusema ulikuwa unatumia for RECREATIONAL.

Anyway, wadau hapo juu wamekushauri vyema. Unatakiwa kuacha kabisa kwasasa

Mwaka hautoshi to rejuvenate your body. Yaani Wewe you need to stop for 5 years consecutive, please comply.
 

Mkuu ,hapa panahitaji msaada kwa sababu walio athirika ni wengi.Ipi ni njia sahihi na salama ya kuondoa athari kwa Mtu alie tumia mmea (Bangi) kwa muda mrefu !?.

Msaada mwingine; kwa wale ambao bado wana endelea kutumia hii kitu una wassaidiaje ili kupunguza athari zaidi !?.

Wanasema kinacho muua Mtu ni kile akipendacho ,unapo maliza kuvuta utumie nini kupunguza Sumu !?.

Nna tangulisha Shukrani Mkuu Mk54
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…