Psychedelic Drugs & Consciousness

Swali zuri kaka, na Mimi nangoja majibu.
 
Mkuu mimi kuna hali huwa inanitokea, na haikutokea mwanzo kipindi naanza kutumia mjani.

Kuna kipindi nafikiria jambo ambalo halijatokea bado, lakini naamua kupuuzia. Then siku chache baadaye, jambo hilo linatokea mpaka huwa nashangaa.
 
Mkuu mimi kuna hali huwa inanitokea, na haikutokea mwanzo kipindi naanza kutumia mjani.
Kuna kipindi nafikiria jambo ambalo halijatokea bado, lakini naamua kupuuzia. Then siku chache baadaye, jambo hilo linatokea mpaka huwa nashangaa.
Ukisikia Machale ndio hayo Hapo machalee yamekucheza mkuu
 
Hebu fanya tuzipate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi sio fix kwelii 😂😂.
Kuhusu upatikanaji, mtalaam Mk54 kasema kwenye post yake ya kwanza kabisa. Kama bangi ni haramu, hizi drugs itakua haramu Mara 100.
 
Brother na wewe ni hazina inayotembea.

Carl Sagan ( one of the most respected astrophysicist in America, Feynman wa space science ) ashawai andika article kuhusu bangi, sema kipindi chake na heshima aliokua nayo aliogopa kuifanya public akaamua kuitunza. Ila kwenye io article, aliisifia bangi mwanzo mwisho. Miaka ya hivi karibuni, wameikuta article yake wamebaki kua amazed na mistari kuhusu bangi.

Jitahidi uandike mkuu.
 
Umemaliza mkuu!!
Ni vile hizi knowledge zinafichwa sana ndani ya jamii zetu. But to be creative, lazima uwe kwenye transcendence..

Kama vile invention ya lugha ilivo play a huge role kwenye civilization ya binadamu , naamini pia Psychedelic drugs zitaplay a huge role kwenye hii modern civilization. Watu wanahitaji guidance tu on how to use them!!
 
Ukiona ziko exposed sasa tambua wenzetu tayari wameshagundua kitu kipya lakini sio mbaya bado tunazihitaji
 
Hapana ,usifanye hivyo maana hauwezijua breki zako zita shikia wapi.Inaweza kukupeleka kwenda next level tukakukosa.Kuna Watu walikuwa wakitumwa kuwasha Sigara leo ndio zime waua.Achana na hiyo mambo Mkuu.
Very unlikely
 
Ujue kwenye movies hizi vitu vinaongelewa sana

Kuna movie moja nimesahau jina, majamaa walikua wakinywa dawa flani wanakua na akili sana, sema ilikua kwa siri sana ntagoogle iyo movie niwaletee jina

Plus "doctor strange' yule ancient one kila alichokua anaongea ni chakula ya ubongo maana ni kitu kipya

Hawa wazungu wanajua aya sana tofauti na sisi wengi wetu ndio tumejulia hapa kwenye uzi huu
 
Jamaa analikua anataka andika kitabu, amekwama na watu wanasubiria, jamaa yake ndio akampa akamwambia this might help, from there maisha ya mchizi yalibadrika kabisa, kuna sehemu alisema i was blind but now i can see yaaani iyo pill ni version na mada hii kabisa
 

Njia pekee ya kuacha matumizi ya Bangi ni kuamua. Just decide.

Charity begins at Home. You need to decide kwanza.

Halafu Bangi haina shida kuacha au kupunguza thought unaweza kupata ile waanaita withdraw syndrome kwa kipindi kifupi tu.

Ingekuwa anatumia Hard drugs like Cocaine au Heroin ningesema hapo anahitaji msaada wa dhati . Maana hard drugs addiction yake ni kubwa sana na kama hawajakuwahi ndio Safari.
-
Kwa kuwa zile ni Devil in the chemical form, Mimi mwenyewe nilikuwa nalazimika kuwapa hao addicts Morphine Injection ambayo ni strongly controlled drug ili watulie na ukikutwa nayo na DCEA lazima ufanywe mfano
-
. Hii ilikuwa ni kinyume na taratibu za kazi but sometimes as a human nilikuwa nafeel their pain. Yaani akiwa « Arosto » mwili wake unakuwa na maumivu makali mnooo as if anachunwa ngozi.

He feels so much pain na viungo vyake vina kakamaaa ; the only way ili atulie ni apate Cocaine au Heroin. It is so painful to see the truth man . So ukimchoma Morphine Injection like one Vial, he will kiss your ass na atakuona wewe ndio Mungu wake.

My point , kuacha bangi ni sawa na kutoa unywele kwenye maziwa despite of some withdrawa syndrome ambazo zinavumilika na huisha permanently.

2. Read the below
 


Tumeona kuwa Kuacha Bangi inahitaji MIND SET Tu. Tho, utakuwa unapata message nyingi in your brain ambazo zinakupush ukavute; unachotakiwa kufanya ni kuzi ignore like you can check movie, jogging , go to worship , talk to friends , sleeping , having sex with Sweetheart.

unaweza kupata insomnia yaani kukosa usingizi Just drink fresh milks , weka mazingira bora ya kulala. Ndani ya week ukiweza kupigana na hizo sms .... you are done.

However, to speed up the process:

1. Tumia Juice ya Fresh leaves za Mint. Unaweza kutengenezea chai yake au ukasaga Juice yake. Only Mint, no majani mengine. Inapendeza Uki mix na Lemon . Make sure unaweka majani ya mint mengi Na Lemon . This is really good

2. Rosemary leaves , Juice yake pia

3. Tarragon leaves - Juice yake

4. Sniffing Jasmine Yaani ule mmea wa Jasmine unaenda kuvuta harufu yake like unavuta kwa ndani and you hold the breath, baadae unaachia breath slow but sure (bid) yaani Mara mbili kwa siku asubuhi na jioni.

5 . Jogging ( kutroti) kila wiki end

6. Coriander leaves- Juice yake
7. Maintain your diet hasa salade na matunda.
8. Make sure unakaa Muda mrefu bila kuvuta like ulikuwa unavuta kila wiki, then try kukaa miezi 3 bila kuvuta huku ukifanya detox kwa mujibu hapo juu. then extend 6 months , then 12 months ......
-

Kwa anaetaka kupunguza kuvuta nae atafuata the same Utaratibu wa detox
-
Ifahamike kwamba hizo detox hapo juu ni kwa wale ambao huvuta Bangi for Recreational.

I don’t have any side effect ya Bangi zaidi imenifanya kuwa mahiri na mchunguzi wa hali ya juu, intuition yangu i admire.

Kwa asilimia kubwa i can see my direction in this life . Ukishatumia mmea unaamka kutoka usingizini. Na hiyo awaken ni infinity , permanent joy.... sasa why do you have to smoke every day wakati umeshaamka kutoka katika hypnotized state of mind.

Hizi mimea ni divine plants na zipo kwa sababu MAALUMU , sio UREMBO wa ardhi bali zimewekwa kwa sababu za msingi sana.

Ukianza kuzi abuse, zinachukia na hasira zake ni kubwa. Ndiyo hizo side effects.

Mimea hii inapenda heshima na nidhamu.... ukiiheshimu nayo itakuheshimu sana
na itakuonesha njia sahihi ya kuwa unachotaka kwa kukufungulia milango.
 

Sniffs Jasmine

Rosemary Tea


Mint with Lemon Yea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…