Psychology of knowing a woman - Darius M, UTuber

Hukumu na hasira ya Mungu IPO juu ya watenda dhambi tubuni na kuacha dhambi na kumrejea Mungu wenu kabla hazijafika siku Mbaya.Muda ni mchache Sana kuendelea kuwaza, kuwawazua na kuwachambua wanawake.Hamna muda kabisa muda umeisha mwanamke HaweZi kusaidia kukupeleka peponi.Waza Mungu siku nzima ACHA kuwaza wanawake siku nzima maana chochote unachokipa muda na mawazo Yako zaidi ya Mungu kinakuwa mungu mwingine kwako.Usiabudu miungu mingine (Wanawake).Wacha waendelee na ghasia Yao ya uzinzi wewe endelea kumsifu Bwana.Jiandae na maisha baada ya kifo muda umebaki mchache Sana.
 
Very nice message.
 
Mbona wao wanajadili WANAUME sana acha knowledge and skills of
 
Mmeshashindikana toka enzi za Eva
Wanawake this, wanawake that.
Mbona mnatuwaza sana?
Mbona wanawake hatuwaandiki andiki nyie kwanini hamuwezi kupoa bila kututaja?
 
Ayo ya Kwny video
Ungeyaandika hapa ingeleta maana zaidi
 
Wanawake this, wanawake that.
Mbona mnatuwaza sana?
Mbona wanawake hatuwaandiki andiki nyie kwanini hamuwezi kupoa bila kututaja?
Ni kwa sababu tunataka tuwe tunawala kimasihara.
 
We jamaa hii comment yako sio mara moja naiona,,,kama kuna dalili zozote zinaonekana kama enzi za kina nuhu,,hemu tusituane bwa shekh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…