M manushiboy Member Joined Aug 3, 2011 Posts 34 Reaction score 9 May 24, 2012 #1 jamani saidieni katika hili hivi ni nini hasa kinafanyika katika psychometric test, wana jamii embu tujuzane katika nyanja hii.
jamani saidieni katika hili hivi ni nini hasa kinafanyika katika psychometric test, wana jamii embu tujuzane katika nyanja hii.
S sambula New Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4 Reaction score 0 May 24, 2012 #2 Psychometric tests ni jina linalojumlisha psychological tests ambazo ziko nyingi, mfano: intelligence test, attitude test, personality na kadhalika.
Psychometric tests ni jina linalojumlisha psychological tests ambazo ziko nyingi, mfano: intelligence test, attitude test, personality na kadhalika.
M Masarafu Member Joined May 24, 2012 Posts 22 Reaction score 13 May 24, 2012 #3 Dah tanzania hatuwezi kuendelea kwa staili hii. Weka kwenye google kijana majibu utapata. Acha kutangatanga huku kuuliza maswali bayo majibu yake yako wazi
Dah tanzania hatuwezi kuendelea kwa staili hii. Weka kwenye google kijana majibu utapata. Acha kutangatanga huku kuuliza maswali bayo majibu yake yako wazi