PT hutumika mda gani?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Wakuu habari ni naomba msaada wa maelezo maana leo ninampeleka kitimoto kibla sasa nataka kujua ili kuzuia mimba zisizo tarajiwa maana sina mpango wa kutumia condom sasa kunaile dawa inaitwa PT nadhani matumizi yake ni kabla au baada ya tendo ili niiandae akija ameze tu
 
Tumia mbinu mbadala ya washindi wa kubeti. Nadhani mabaharia wamenielewa.
 
P2 humezwa ndani ya saa 72 baada yatendo
 
P2 (Levonorgestrel) humezwa ndani ya saa 72 baada ya kuhisi unaweza kupata mimba baada ya sexual intercourse..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…