INAUZWA PTZ wireless CCTV Camera

Fundi Umemetz

Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
35
Reaction score
41
PTZ wireless camera - Hii ni camera inayojizungusha mahususi kwa ajili ya ulinzi na usalama wa eneo lako kama biashara au nyumbani.
[emoji654]ina uwezo wa kuzunguka na kuona pande zote kwa picha angavu kabisa usiku na mchana
[emoji832]Ina ona kwa 360° degree
[emoji832]Inarecord hadi sauti
[emoji832]Ina sehemu ya kuweka memory card kwa ajili ya kutunza kumbukumbu.
[emoji832]Ukiweka kwenye chumba kama sitting room inauwezo wa kuona chumba kizima kwa mduara 360°degree.
[emoji832]Ina uwezo wa kuhisi kituchochote kinachojigusa na kunasa tukio vzr.
[emoji832]Unaweza kuunganisha na simu yako ukaview ukiwa p ok aopote

[emoji837]Bei ani 140,000tsh
[emoji338]Call0623137099 TUPO MAKUMBUSHO . Dar free delivery . mikoani unatumiwa

 
Kwenye pc inaungwa?
 
Ina maana ili kuunga na simu itahitaji mtu awe na internet router au yenyewe hiyo kitu inachukua SIM card?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…