Mkuu
Replica , kwanza asante kuni tag.
Mkuu
Retired, the trio judge is right to use reconsider instead of reinstate kwasababu: -
1. Kwanza kitendo cha kustaafishwa kwa manufaa ya umma bila kuambiwa sababu ni sehemu ya utekelezaji wa kanuni za Utumishi wa umma, mfanyakazi akistaafishwa kwa manufaa ya umma, maana yake kuna sababu, public service standing orders zinatamka kama sababu za kustaafishwa kwa manufaa ya umma zikitajwa zitakuwa na adverse effects on the endeavour of that person, then termination letter haiandikwi sababu!, hivyo kutokuandikwa sababu kwenye barua, hakumaanishi hakuna sababu sababu zipo ila hazikuandikwa!.
Sababu hizo zimetolewa na taarifa za wale jamaa zetu wa vetting, taarifa zao zote ni confidential, secrets na top secret, huwa haziandikwi!.
2. Pili mtumishi yoyote wa mahali popote, anapopata uteuzi wowote, utumishi wake wa awali unasitishwa na kwenda kutumikia utumishi mpya wa uteuzi, ule uteuzi ukiisha, mtumishi huyo anarejeshwa Utumishi kupangiwa kazi nyingine yoyote popote, na ile nafasi yake ya awali kama bado ipo then anarejeshwa, kama nafasi ile imeisha jazwa anapelekwa pengine popote na kupangiwa kazi nyingine yoyote ya hadhi na ujuzi wake.
Kitu ambacho mtumishi huyu atabakiwa nacho ni mshahara wake wa mwisho anaendelea nao, hivyo kama mwanzo alikuwa Mwalimu wa primary, akateuliwa kuwa DC, akitumbuliwa anarudia kushika chaki lakini mshahara ni wa DC, hivyo anaweza kulipwa mshahara mkubwa kuliko Mwalimu Mkuu!.
Mahakama imemrejesha kwenye Utumishi wa umma, the central establishment itampangia pa kumpeleka, kama pale PSPF pana nafasi, atarejeshwa, kama hapana, atapelekwa popote, hitaji la wanasheria serikalini bado ni kubwa!.
Wish him all the best, uamuzi huu ni uamuzi muhimu kuonyeshea hata rais sio kila kitu!.
Je, Wajua Rais wa JMT Hayuko Juu ya Katiba? Anaweza Kulazimishwa Kumtengua Makonda, Akigoma, Bunge Linamtegua Urais?
Pia nimezungumzia
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote
Pia
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!
Na
Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
P