TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuckinq pathetic. Taasisi ya umma inatoa tangazo kwa raia kwa lugha ya kiingereza.
Asante kwa maoni tumetumia lugha mbili kuna ya kiswahili pia tumeweka kichwa cha habari kwa Kiswahili na kuna hii ya Kizungu kwa wale ambao hawafahamu KiswahiliMuwe mnatumia kiswahili kuwashawishi ata wageni kujifunza kila andiko mna andika english mpaka barua mna andika english tumieni kiswahili lugha mama
Asante kwa Kumfafanulia.. mtu anaona Header ya English anaikimbilia na kukurupuka kukashifu bila kujua TRA Website inatumika Kimataifa.Asante kwa maoni tumetumia lugha mbili kuna ya kiswahili pia tumeweka kichwa cha habari kwa Kiswahili na kuna hii ya Kizungu kwa wale ambao hawafahamu Kiswahili
Asante kwa maoni tumetumia lugha mbili kuna ya kiswahili pia tumeweka kichwa cha habari kwa Kiswahili na kuna hii ya Kizungu kwa wale ambao hawafahamu Kiswahili
Hii inawahusu wateja wenu wanaojua kiinglishi, sie wamatumbi haituhusu , sio!!!
Basi waambie wabadili na neno TRA..!! Maana ni kifupi cha maneno ya ki-ingilishiii..!!Fuckinq pathetic. Taasisi ya umma inatoa tangazo kwa raia kwa lugha ya kiingereza.
Hamna akili kabisa hapo kwenye taasisi wote??
Asante kwa maoni tumetumia lugha mbili kuna ya kiswahili pia tumeweka kichwa cha habari kwa Kiswahili na kuna hii ya Kizungu kwa wale ambao hawafahamu Kiswahili
Kuna Watanzania hawapendi Kingereza jamani.Muwe mnatumia kiswahili kuwashawishi ata wageni kujifunza kila andiko mna andika english mpaka barua mna andika english tumieni kiswahili lugha mama
acha upimbi wewe umeangalia uzi wote kuna ufafanuzi hapo umewekwa kuwa hii wamewekewa wale ambao hawajui kiswahili na hapo chini kaweka link kuwa lipo pia kwa kiswahili. Shida tunapenda sana kukosoa hii website tukumbuke kuna wawekezaji ambao hawajui kiswahili na nawanhitaji kupata taarifa za kutoka kwa zakayo sasa kama wewe kiswahili kina unakujua wameweka la kiswahili na kwa hao wenzetu lipo pia la kizungu ambalo ndiyo hili. Wangeweka yote mawili nayo naona ingekuwa shida kichwa cha habari wangetumia lugha ipi. Niwapongeze tra kwa kuonyesha pia kuwa mnajali wawekezaji wasiojua lugha ya kiswahili ili nao walipe kodi wasiwe na na sababu ya kusema hawajui taratibu sababu ya lugha.Hii inawahusu wateja wenu wanaojua kiinglishi, sie wamatumbi haituhusu , sio!!!
Hey nigga ,take a soft drink kwa Mangi ,Iam the one to pay .Fuckinq pathetic. Taasisi ya umma inatoa tangazo kwa raia kwa lugha ya kiingereza.
Hamna akili kabisa hapo kwenye taasisi wote??
Wangapi wanaijua hiyo lugha huku mtaani au ndiyo mbinu ya kuwatupia lawama na kuwataka ubaya na walipa kodi
Ipi ni primary language kwa watanzania?Asante kwa maoni tumetumia lugha mbili kuna ya kiswahili pia tumeweka kichwa cha habari kwa Kiswahili na kuna hii ya Kizungu kwa wale ambao hawafahamu Kiswahili
acha kutukana bila fanya tafiti wewe. unajua walipa kodi wapo wanaojua kiswahili na wapo wasiojua kiswahili. sasa ulitaka kitumike kiswahili pekee? mbona wamesema pia lipo la kiswahili na hapo nimeona ufafanuzi mzuri na link ya kwenda kiswahili pia wameweka? sasa umeona limewekwa kwa kizungu ulikuwa unasoma la nini ? kiherehere tuFuckinq pathetic. Taasisi ya umma inatoa tangazo kwa raia kwa lugha ya kiingereza.
Hamna akili kabisa hapo kwenye taasisi wote??
Tangazo halina maelezo unapost picha tu, haya bhana mtoto wa kigogo hongera kwa kupewa kazi kwa kupigiwa pande
mimi mbona sioni shida yoyote kwani lugha zote mbili zimetumika kuwafikia wenye kuzielewa ipo kwa kiswahili kama walivyofafanua na pia ipo kwa kizungu kama lilivyoIpi ni primary language kwa watanzania?
mzee unaumia yaani mbona tangazo limejieleza . Sasa ulitaka maelezo yapi tena hapo wakati lipo wazi kabisa sema kizungu kimekupiga chenga fata hiyo link waliyoweka upate la kiswahili utaelewa tuTangazo halina maelezo unapost picha tu, haya bhana mtoto wa kigogo hongera kwa kupewa kazi kwa kupigiwa pande