Nashindwa hata kuchangia maana hawa watu wanoitwa polisi roho yangu inauma juu yao,ila Mungu haja lala,one day yes,na siamini kama kweli Mungu atayashangilia matendo haya mpaka mwisho w dahari.Ni kweli hawa watu wanajitia wana sheria na wanajua kila kitu ila sawa kwa kuwa saa yaja kama mwizi.na siku hiyo itakuja kama kifo hakina taarifa ili ujiandae au ukate rufaa,siku ya kuja hakuna anaeijua wala saa hakuna.
Wa TZ watajikomboa tu hata kwa damu na hata imwagike kama mto au maji ya bahari,lakini lazima siku itimiee