Mama
Naomba tafsiri ya hii sentensi; umeniacha hoi bin taabani.
WomenofSubstanc,
Usiache kupitia post namber 2 na namba 11
.
Hakuna Mtizamo chanya katika ubinafsishaji TZ. Ni wapi tunaweza kusema tumefanya vizuri sana? Unaweza kujaribu mambo ambayo ni rahisi kuyareverse ili in case yakiharibika basi unarudi nyuma, lakini privatisation is no easily reversible and when you try it, the cost of reversing is very high.Pamoja na mabaya yote ya ubinafsishaji, hebu na tuangalie kwa mtizamo chanya suala hili la privatisation of roads.Kama kutakuwa na usimamizi mzuri, hatuoni kwamba pengine itakuwa suluhisho kwa ubora wa barabara zetu ambazo ni kama hazipo? Ofcourse kuna mambo ya kuzingatia kabla ya ubinafsishaji huo maana nchi nyingine wamefanya hivyo na matokeo ni kuwa na barabara zenye ubora!