Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

Tundu Lissu hafai kuwa Rais.
 
Lissu Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo.
 
Magufuli wewe ndiye tunayekutegemea.
 
Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Magufuli hao Wapinzani.
 
Mbona Rais Magufuli anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Magufuli.
 
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante Magufuli oooyeeeeee.
 
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.
 
Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Magufuli anatosha.
 
Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yanaumiza sana hawa wajinga.
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tukikuongezea miaka kumi tutaipiku USA.
 
Mkuu hakuna anayetetemeka, siku tatu Rais Magufuli amepumzika nyumbani maana ushindi ni ni uhakika zaidi ya 95%.
 
Ndio Magufuli ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo.
 
Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%.
 
Ambaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…