Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Is " it"a lady or a man that thing???

"Me" thinks its neither!....😀!...it could be a witch or an unknown creature,not even a creature as far as I am concerned its literally a piece of shit, as you can clearly see from its avatar!
No sane human behaves like it does!
 
Nilisema jana tubadilike, tujadililiane economic issues, tufanyeje biashara? opportunities zilizopo within our east African community mkenya mrwanda, mtz na wengine .
Sasa wengine wakaniponda mbaya, lakini hatutaki haya matusi ya TZ v/s Kenya tumeshakua watu wazima.
Sa hvi watu wanapeleka mahindi south Sudan na bidhaa zingine nyingi tu nyie mmebaki na maghorofa ya TZ na barabara za kenya.
Hvi mnajua wafanyabiashara wakubwa TZ wakikutana na wenzao wa kenya serena dar wanaongea real issues sio huu upuuzi tunaouna hapa.
 
Wewe endelea na issues zako na sisi tuache tufanye issues zetu sawa!!?
Mbona unakuwa mshamba hivyo!!?
Wewe ukisema biashara unamaanisha nini?
 

I think you are the only sane Tanzanian in this forum.....Keep it up.
 
Is " it"a lady or a man that thing???
Well, Annael is a robot created into JF by Maxence Melo. It's main duty is to publish nonsense about Kenya and the Tanzanian opposition, thus provoking Kenyans and the opposition adherents into commenting more on the website, thus more business for Mr. Melo.

Just my guess.
 
True......tunafaa kujadiliana zaidi kuhusu masuala haya.

Lakini sidhani ni sahihi kusema ya kwamba wafanyi biashara, hata hawa wakubwa hawana hizi hulka za kiuzalendo, kushindana ni nchi gani inayonufaika kutokana na hili kushind zote?
Hilo ni jambo la kawaida.
 
Are trying to tell us that kenya is more united and Tanzanian is divided politically? Huh....?
 
Are trying to tell us that kenya is more united and Tanzanian is divided politically? Huh....?
I dint say that. Annael is a well known anti-Kenya as well as anti-Tanzanian opposition groups. That is why I arrived at that postulation, which I insist it shouldnt be taken seriously..
 
I dint say that. Annael is a well known anti-Kenya as well as Tanzanian anti-opposition groups. That is why I arrived at that postulation, which I insist it shouldnt be taken seriously..
On the same note, if you go back on the same thread you'll realised there so many Kenyans who are anti Tanzania, and there so many Tanzanians who are anti Kenya. Ni vita ya kindugu na haikwepeki. People are refusing to grow up. My suggestion is, if you can't beat them ........... Ah malizia hapo.
 
In this entire thread, this has been the most sane page so far, save for a few variants. It'll really be good if we keep things this way.
 
I think you are the only sane Tanzanian in this forum.....Keep it up.

i think you are right this annael. we are afew kenyans here and its like we make these puppets. why dont we liaise and agree on the guy to give a wide berth. that thread wont make a page if its abt kenya.

kwa mfano ameanzisha uzi wa ligi kuhusu utalii. huko siendi naomba you give it a wide berth na we sensitize wenzetu. if its comments lets give our comrades support kwa uzi zoa au any tzian hana utoto wa ligi.au vipi!!
 
I dint say that. Annael is a well known anti-Kenya as well as anti-Tanzanian opposition groups. That is why I arrived at that postulation, which I insist it shouldnt be taken seriously..
i think you are right this annael. we are afew kenyans here and its like we make these puppets. why dont we liaise and agree on the guy to give a wide berth. that thread wont make a page if its abt kenya.

kwa mfano ameanzisha uzi wa ligi kuhusu utalii. huko siendi naomba you give it a wide berth na we sensitize wenzetu. if its comments lets give our comrades support kwa uzi zoa au any tzian hana utoto wa ligi.au vipi!!
 
I have also decided on not participating in her threads henceforth. Her threads are only intended to deride Kenyans.

Annael. Kama ungekuwa unnanzisha hizi threads zako bila hizi ligi na bezo, bila shaka wakenya wengi wangefurahia sana kucontribute. Lakini sasa wewe unaanzisha thread nzuri tu, kama hiyo ya kilimo. Kisha eti unasema wakenya walala njaa. Hapo haikuwa sawa. Ndio maana wakenya wengi wenye ujuvi kuhusu masuala haya wameamua kutoshiriki.
Mimi mwenyewe sikuwa na nia ya kushiriki, lakini nikaamua kukuchokoza tu. Hilo tu.
 
Umeweka mpira kwapani sio? Wewe unaposimanga watanzania na kuwaita wazembe kwako poa tu. Wewe ukigeuziwa kibao kidogo tu unaanza kulilia.
You have to show respect to our nation then we can respect you.

Ukileta madharau sisi tunamalizia. Jiheshimuni muheshimike. Very simple.
 
Big up bro. Now forward message to the others pliz. Wacha tuone atafika wapi Bila ligi.
 
Ulisema hivi......

"Nawasalimia wana JF.
Poleni na kazi. Kuna watu wamekuwa wanalalamika kuhusu mada inazozileta wakawa wanasema kwanini tusichangie mambo ya maana ili kukuza Africa Mashariki.

Basi leo nimeona nilete hii mada ya kuhusu Kilimo, Uvuvi na ufugaji Tanzania ili wenzetu wenye shida waweze kujua mazao yapo wapi waweze kupata.
Nitakuwa naweka picha na maeneo husika ndani ya Tanzania.

Ndugu zetu kutoka kenya wanalima maua lakini hawalimi mazao ya chakula tunaweza kuwasaidia waweze kupata japo mlo. Unajua hawa ni ndugu zetu kabisa, kinachotakiwa tu waweze kukusanya pesa zao waje tufanye biashara nao.
"

Hilo lilikuwa kweli na sawa?
Na pia kuna mahali pia ulisema sisi ni wavivu kiaina.


Anyway.....kwa heri, na uendelee na haya mambo yako JF utakavyo. Naapa sitokubugudhi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…