chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Usipojiheshimu hakuna atakayekuheshimu hata mimi nimekudharauAsante kwa kuwatukana wazazi wangu.
Ila kwenye bandiko langu sentensi ya mwisho nimeandika" ukweli unauma" - hii Tanzania sio yako usijifanye wewe unaipenda sana.. Inabidi tubadilike tuwe civilised iys very simple but sio kwa matusi na short minded kama wewe.
Lazima tuangalie mbele na tusiangalie chini
Wapi evidence ???Tanzania usafiri wa umma sio mzuri miaka yote usimamizi wa hiyo BRT hauko wazi kabisa bado uswahili tu, kwa ufupi kenya washatuacha mbali sana kwenye mambo mengi .
Duh, hayo magari ya karne ya 18Ni kweli usafiri wa nairobi watu hawasimami wala hawabanani ndani ya gari kabisa as the matter of fact you can see how they are enjoying white-collar transfer. View attachment 436218View attachment 436220View attachment 436221View attachment 436222
Mkuu hizo ni latest version kuliko hizi brt zetu za mwaka 47 au hujaona watu wakizipondaDuh, hayo magari ya karne ya 18
Kawaida yenu ninyi wapuuzi ni kusifia vyawatu hata kama sivyo
Uje umkatae na babako use me siyo kwa kuwa hana pesa!!!
Ulitakiwa kuonyesha hapa hicho unacho kiamini kutoka Nairobi siyo kupayuka kama umekunywa Viroba.
Hakuna public transport ya maana Nairobi
Mpumbavu unadhani wewe una akili kuliko wote walio kimya, hii ni Nchi yetu huna haki ya kituma utumacho kwenye mada husika kama huwezi kuwa na hoja kaa kimya!!! C. H. O. K. O.ukipunguza ushamba wewe mwenyewe kutafuata na ukielewe maana ya neno ustaraabu ni nini! wewe hauna ata chembe dalili za tabia ya kistaarabu!!!!
Where albino body parts fetch big money, albinos still get butchered
By Lindsey Bever March 13, 2015
albinism is prevalent, people born without pigment in their skin are thought to possess special powers, but not in a good way. Superstitions feed myths that albinos are ghosts, sorcerers or demons who have been cursed and, when hunted and killed for body parts, bring good luck to others.
Zeid Ra’ad al-Hussein, the United Nations high commissioner for human rights, announced Thursday that attacks against albinos have spiked this year in East Africa, especially in Malawi and Tanzania.
Huko gongo la mboto uliko wahi ishi wewe au mbagala ni wapi mkuu? Au una hulka tu ya kusifia vya watu.Wewe ndio kabisa akili zako za kitumbili kabisa. Sasa kitu gani huelewi hapo?
Usafiri wa dsm sio rafiki . Nyani tu ndio atashindwa ama atatumia nguvu nyingi kunielewa.
Kha!!! Umeelewa tunaongelea nini lakini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLETA MADA WEWE NI BURE KABISA.
YAANI HAYA MABASI YETU YA MWENDO KASI NDO YANAKUPA KIBURI? HIZO TRENI ZA KWENDA MIKOANI NDO UNAZIITA USAFIRI WA DAR? acha USENGENYAJI MY FRIEND. WATU WENGI KUTOKA HUKU KWETU TANZANIA WANAKIRI KABISA SYSTEM YA USAFIRISHAJI KENYA IKO VIZURI SANA. KUANZIA MAGARI YENYEWE, KUGOMBANIA KUPANDA HUO UJINGA HAWANA, MATUSI NA UVAAJI WA MAKONDA HAMNA. ILA HAPA KWETU BONGO NI AIBU TUPU
CALL A SPED A SPED! DONT CALL A SPED A BIG SPOON KAKA YANGU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLETA MADA WEWE NI BURE KABISA.
YAANI HAYA MABASI YETU YA MWENDO KASI NDO YANAKUPA KIBURI? HIZO TRENI ZA KWENDA MIKOANI NDO UNAZIITA USAFIRI WA DAR? acha USENGENYAJI MY FRIEND. WATU WENGI KUTOKA HUKU KWETU TANZANIA WANAKIRI KABISA SYSTEM YA USAFIRISHAJI KENYA IKO VIZURI SANA. KUANZIA MAGARI YENYEWE, KUGOMBANIA KUPANDA HUO UJINGA HAWANA, MATUSI NA UVAAJI WA MAKONDA HAMNA. ILA HAPA KWETU BONGO NI AIBU TUPU
CALL A SPED A SPED! DONT CALL A SPED A BIG SPOON KAKA YANGU