Public transport ( Kinshasa vs Nairobi Vs Dar Es salaam)

Tanzania tatizo kubwa ni siasa za kujipendeleza kwa wapiga kura.

Mfano kituo cha mbezi mwisho utadhani dampo kwa sasa.
maisha lazima yaendelee.atleast akija mgeni atajionea namna huruma imetumika kwa wasakatonge wote.

lakini sio kushindwa kufanya kitu bora kama kujenga stand.
 
hii haiondoi ukweli kwamba hizo buses ni nzuri na zimekaa kistaarabu.
 
Mambo yazima yapangiliwe, kuto kupanga sio execuse ya uchafu .
maisha lazima yaendelee.atleast akija mgeni atajionea namna huruma imetumika kwa wasakatonge wote.

lakini sio kushindwa kufanya kitu bora kama kujenga stand.
 
hii haiondoi ukweli kwamba hizo buses ni nzuri na zimekaa kistaarabu.

Yeah ukisubiri karibu masaa mawili, kisha lije ung'ang'anie hadi upate kiti, hapo sawa utaenjoy, japo pia omba upate kiti upande wa dirishani vinginevyo watakaobanana kwa kusimama watakujambia sana na kukubana hata kama umekaa.
Picha za Yuotube ni nzuri lakini mimi nafahamu uhalsia, nilijaribu kuzitumia hadi nikakata tamaa, mara kadhaa nalipia na kuanza kusubiri stendi, ila hatimaye inanibidi nishuke nje ya stendi nikasake taxi, maana mabasi yenyewe yanachelewa kishenzi na likija limejaa abiria wamebanana hadi mlangoni.
 
Kanunue gari lako uache kupanda matatu!
✌️
 
Hivi sasa serikali ipo kwenye hatua za mwisho kuzipiga ban jijini, najiskia raha....kudadadekiii.
Bado zitakuwepo leo kesho na hata milele, 🤣🤣🤣 Alafu hivi wee wa wapi coz matatu nazozijua mimi huwa safi sana na zimesukwa hatarii ndani hadi inje? Hivi matatu zenyu hamzioshi ndio maana unalalama hapo ilhali hata taxi huwezi gharamikia. Wacha vijana wafanye kazi mkulu, uzaskira uwe!?
✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…