Publish or Perish

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Mikataba mingi ya Tanzania ina kifungu kinachosema mkataba ni siri na ukianikwa hadharani ni kosa la jinai. Kwa mantiki hiyo, Tanzania imeendelea kuingia hasara kutokana na mikataba mingi ya ndani na nje kufanywa ni siri ya wanaopiga saini mkataba.

Labda tutumie mfano huu kuwashinikiza Wabunge wetu kuleta sheria mpya ya kuweka wazi mikataba na michakato yote ya manunuzi na uzabuni inayofanywa na Serikali.

Kutoka Jarida la Foreign Policy.

Publish or Perish - By Charles Kenny | Foreign Policy

 
I hope wabunge wapya watakuja na moto kutaka openess kwenye mfumo wetu wa utawala na kuondokana na kile kipengele cha criminalization of disclosure of information.
 
tatizo me na wewe tumebaki na hasira zetu na hatujawakalia kooni wajinga walioko mitaani na vijijjini ambao wanadanganywa na ccm. Tungemchagua Slaa haya yote yangefuchuka. Sasa kwa mfano wachimbaji wote wanajua Slaa anaweza penya wanasomba kila kitu fasta na kuwawekea vijukuu vya akina Kikwete mehela ya kutosha mpaka kufa kwao.

Sisi wenyewe mafala nadhani. Samaani lakini nina hasira na nchi yangu
 
Hoja nzuri, lakini sidhani kama chama twawala watakubali sheria kama hii, maana kwao hii ni sawa na kukata food web which keep them alive.
 
Hoja nzuri, lakini sidhani kama chama twawala watakubali sheria kama hii, maana kwao hii ni sawa na kukata food web which keep them alive.

Mbaya hata wale "Wapiganaji" nao ni butu wakifurahia mlo na kuimba kwa utii Ibara ya 15.1 ya CCM!
 
Mbaya hata wale "Wapiganaji" nao ni butu wakifurahia mlo na kuimba kwa utii Ibara ya 15.1 ya CCM!
Dhana ya 'wapiganaji' mi nilishai-dismiss kitaambo sana toka enzi zile za jamboforums..wote ni wasanii tu.

Wanapiga kelele kuhusu mikataba ya hovyo ambayo matunda yake tumeshayavuna lakini bado hawaoni mzizi wa tatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…